Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Bw. Selemani Jaffo wakati wa Kikao cha kwanza Mkutano wa tisa wa Bunge kilichoanza leo Novemba 7, 2017 mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimsikiliza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Umi Mwalimu wakati wa Kikao cha Kwanza Mkutano wa tisa wa Bunge kilichoanza leo Novemba 7, 2017 Mjini Dodoma

Share:

No comments:

like our page

Total Pageviews

MAKTABA