BREAKING NEWS>>>ALIEKUWA MUME WA MTANZANIA NA MUIGIZAJI IREEN UWOYA,BWANA HAMAD NDIKUMANA(39) AMEFARIKI DUNIA .

Aliyekuwa  mume wa muigizaji wa filamu nchini, Irene Uwoya, mchezaji Hamad Ndikumana (39) kutoka nchini Rwanda amefariki usiku wa kuamkia leo, chanzo cha kifo chake kikisemekana ni matatizo ya moyo ambapo jana alikuwa akiendelea na kazi zake kama kawaida.

Mpaka anakutwa na umauti alikuwa akicheza katika timu ya APOP Kinyras Peyias FC ya  Cyprus.  Alizaliwa Oktoba 5, 1978 na mpaka anafariki dunia alikuwa ametengana na Uwoya kwa mingi na alikuwa ndiye mkewe waliyefunga naye ndoa katika Kanisa Katoliki na walibahatika kupata mtoto mmoja  ambaye jina lake ni Krish
Share:

No comments:

like our page

Total Pageviews

MAKTABA