Home »
» VIDEO>>GARISA>>SHERIA MPYA ,MARUFUKU MWANAMKE AU MKE WA MTU KUPANDA PIKI PIKI,UKIONEKA JELA MWAKA MMOJA.
VIDEO>>GARISA>>SHERIA MPYA ,MARUFUKU MWANAMKE AU MKE WA MTU KUPANDA PIKI PIKI,UKIONEKA JELA MWAKA MMOJA.
Garisa ni nchi ndogo sana iliyojawa na machafuko na unyanyasaji wa wanawake,sheria mpya iliyoptishwa kwa sasa ni kuwataka wanawake na wake za watu kutopandishwa kwenye piki piki,maalufu kama boda boda,sheria hiyo imekuja baada ya wanaume kulalamika kwa kuona wanawake wanapo panda piki piki hizo huwashika kiuno dereva,jambo ambalo linaleta wivu sikia hii,na uwkne wanacho fanyiwa.bonyeza link hapo chini,CLICK LINK DOWN.
https://youtu.be/C439QRcMrjk
No comments:
Post a Comment