
MH magufuli alipo kuwa mkoani mwanza alitoa kauli ambayo kama imewagawa wananchi,na kuiyona kama nikauli ya upendeleo,kwa kutamka kuwa wakazi wa mwanza wasibomolewe nyumba zao na wale akulima wanaolima kando ya mito wasitolewe labda maji ndio ya watoe,imeonekana kuwa gumzo kubwa bungeni jana,baada MB Peter msigwa kuuwasha moto,sikia mabishano yalivo kuwa kwa kubonyeza link hiyo ya brue chini hapo. (BONYEZA HAPO)
https://youtu.be/c6H6GDfIj9I






No comments:
Post a Comment