Kama mtanzania wa kawaida anaweza akadai tsh bilion 7 kama malimbikizi ya mshahara wake,unadhani kutakuwa na usawa wa mwenye nacho na asio nacho kweli?ifike mahara watanzania tuache kuishi kwa mazoea,walicho kutana nacho kutoka kwa magufuli,fungua link hiyo ya brue uwaone na alicho kiongea jpm.
https://youtu.be/TdVBseCMBO4
No comments:
Post a Comment