Ajali mbaya imetokea muda huu maeneo ya kikavu kwa Sadara Mkoani Kilimanjaro baada ya gari kubwa la Kilimanjaro lililokuwa likiovateki gari lingine na kukutana ana kwa ana na Gari ndogo aina ya Noah iliokuwa imebeba abiria ikitokea Moshi mjini kuelekea Sanya juu . Ajali hii imepoteza uhai wa jumla ya watu wanne ( wakubwa watatu na mtoto mdogo mwenye umri kati ya miaka 3-6 mmoja ), walionusurika ni watu wanne. Hata hivyo Majina ya marehemu hao bado hawajatambulika.
,
No comments:
Post a Comment